KURIPOTI MATUKIO YA USALAMA WA CHAKULA AMBAYO YANAWEZA KUWA NA MADHARA MAKUBWA

Kama unafahamu chochote ambacho si kizuri kwa chakula kiasi cha kuleta madhara makubwa kikiliwa na unaona huna njia yeyote ya kuzuia madhara hayo, unakaribishwa kujaza fomu hii. Mpango wa kimataifa wa kuoanisha (GHI) utafanya tathmini ya tukio na kulitafutia ufumbuzi kwa njia sahihi. Kwa kutuma fomu hii isiyokuwa na utambulisho wowote kwa mtumaji, hutaweza kutambulika.

Tanbihi: kuzuia utambulisho wako hakikisha kwamba taarifa unazoweka haziwezi kukutambulisha kwa nyia yoyote ile:

  1. Usiweke taariza zozote zinazoweza kukutambulisha
  2. Usittumie mtandao wa kampuni, simu janja ama komputa


Soma Maswali yaulizwayo mara kwa mara Kwa watoa taarifa ili kujua jinsi tunavyolinda usiri wao.

Kwakujaza fomu hii, inadhaniwa kwamba,

  1. Unasababu za kutoripoti tukio la usalama wa chakula kiwandani
  2. Au uliripoti tukio la usalama wachakula kiwandani lakini hatua hazikuchukuliwa…


Unajulishwa kwamba taarifa unazotoa zinachunguzwa kuhukumu kama tukio:

  1. Limetokea na linaweza leta madhara makubwa kwa afya za watu
  2. au:
    • Inalenga kukashfu kiwanda ama watu
    • Ni kulipiza kisasi
    • Ucheshi uliokosewa

Toa taarifa kwa undani kama itakavyowezekana juu ya usalama wa chakula, lakini Hakuna taarifa zinazoweza kukutambulisha.

Tafadhali jibu maswali yafuatayo kwa ukamilifu kama itakavyowezekana

Suala linaloripotiwa ni
Unategemea walaji kuugua?
Je hii imetokea kabla?
Je ni tukio linalojirudia?

Taarifa za bidhaa

(Kwa mfano mkate, nafaka, nyama, …)
(kwa mfano kopo, chupa, ...)
Jina ya vitu na wingi wake (kwa mfano, % au mg/kg)

Usindikaji wa bidhaa

Njia ya kuondoa maambukizo iliyotumika:
Chanzo cha mionzi kilichotumika

Ufungashaji wa bidhaa

Bidhaa imefungashwa:
(mfano, glasi, plastiki, karatasi…..)
(kama inahusika)
(kama inahusika)

Tarehe iliyoandikwa kwenye kifungashio:

Taariza nyingine kwenye kifungashio:

Hali ya kuhifadhia

Bidhaa inahifadhiwa:
Kipimo cha joto
Kuwekwa juani

Kuna shida gani?

Angalia zote zinazohusika
(Orodhesha vitu, kiasi na taarifa nyingine
Kutokidhi hali inayohitajika wakati wa kuua wadudu

Wapi inatokea?

Mahali kiwanda kilipo
Tafadhali ongeza hapa maelezo mengine unayotaka kutoa au kama unahitaji kuandika zaidi kuhusu tukio kwa maneno yako binafsi.
Kuwa mwangalifu kutoa taarifa zinazoweza kutumika kutambulika.